
Royaltourtz
February 18, 2025 at 09:19 AM
Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bi. Neema Msitha akizingumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa Taasisi hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita leo tarehe 18 Februari, 2025, jijini Dodoma.
#royaltourtzdigitalteam
#royaltourtzupdates