Royaltourtz
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                February 22, 2025 at 12:28 PM
                               
                            
                        
                            Watendaji na Maafisa Utalii nchini wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, kujituma na ubunifu kuhakikisha Sekta ya Utalii inaboreshwa kwa manufaa ya Taifa.
Hayo yamesemwa leo Februari 22, 2025 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,  Dkt. Pindi Chana (Mb) katika Kikao kazi cha wataalamu wa Utalii na Masoko kutoka Idara ya Utalii , Wizara ya Maliasili na Utalii na Bodi ya Utalii kilichofanyika jijini Tanga….soma zaidi….
https://www.instagram.com/p/DGYAA61NBxR/?igsh=ZTJ3d3B6cXpwMnM1