Royaltourtz
Royaltourtz
February 23, 2025 at 02:54 PM
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameiagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kushirikiana na Kampuni ya Kili International Marathon ambao ni waandaji wa mbio za Kili marathon kuhakikisha mbio hizo zinatumika kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini….soma zaidi…. https://www.instagram.com/p/DGa1cKoNSmV/?igsh=MWxpZW9yNmhjbDhhbQ==

Comments