
Royaltourtz
February 26, 2025 at 11:06 AM
Afisa Madini Mkazi wa Mkoa Iringa, Mhandisi AbdulRahman Milandu akiwaomba wawekezaji wa Sekta ya Madini kuwekeza kwenye madini ya shaba yaliyopo mkoani humo.
#royaltourtzdigitalteam
#royaltourtzupdates