
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
February 5, 2025 at 07:28 AM
NAFASI ZA AJIRA KUPITIA MRADI WA NYUMBA ZA BEI NAFUU.
Mradi wa nyumba za bei nafuu mbali na kuwapa Wakenya makaazi bora bali pia umetoa nafasi za ajira kwa vijana wanaohusika katika miradi hiyo.
Lengo kuu la mradi wa nyumba za bei nafuu ni kuboresha maisha ya Wakenya kupitia nyumba za bei nafuu na za viwango vya juu.
#affordablehousing #ukweliwamamboke
#miradiinatekelezwa
#bomayangu
👍
1