Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga WhatsApp Channel

Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga

84 subscribers

About Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga

Official channel of the Deputy Government Spokesperson//Media personality. Arifa rasmi kuhusu serikali miradi na mikakati kutoka mijini hadi vitongojini.#semanagava

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
5/22/2025, 10:30:00 AM

Nimewataka vijana kujitokeza na kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika jamii. "Jitokezeni na mtafute nafasi za uongozi ili kupata uwakilishi wa juu katika tabaka la kisiasa," Pia niliwataka kuwa na maadili mema kwani uongozi unaanza na nidhamu katika jamii. Serikali ya Kenya Kwanza imeendelea kuwashirikisha vijana katika programu mbalimbali za uwezeshaji zinazowasaidia kuboresha maisha yao kupitia vituo vya ICT vya Jitume, fursa za ajira katika miradi mbalimbali ya serikali, hustler fund, miongoni mwa mengine mengi zaidi. Nilikuwa nikizungumza wakati wa hafla ya 3 ya Bunge la vijana mkoa wa Pwani iliyohudhuriwa na zaidi ya vijana 50 kutoka kaunti 6 katika baraza la kaunti ya Kwale.

Post image
👍 1
Image
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
5/21/2025, 2:26:35 PM

Today, I was privileged to be part of the panel discussion during the 42nd ICPAK annual conference in Mombasa County, where I emphasized on Government mid term achievements since President @WilliamsRuto was elected in office. I also emphasized that the government is on track and working towards improving the livelihood of Kenyans through BOTTOM-UP TRANSFORMATION AGENDA [BETA]. ICPAK is the statutory body established by accountants to regulate the accountancy profession in Kenya. @ICPAK_Kenya

Post image
Image
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
6/6/2025, 7:43:45 AM

Nawatakia ndugu, jamaa na marafiki wote popote mlipo nchini na ulimwenguni EID AL-ADHA njema. #EidAlAdha #EidMubarak

Post image
Image
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
5/28/2025, 3:40:42 AM

Ungana nami asubuhi hii @Radio47Kenya1 kwenye BREAKFAST 47 na manahodha @Alex_Mwakideu na @CaptMwashumbe kuanzia saa mbili kamili. Usikose.

Post image
Image
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
5/14/2025, 2:38:20 PM

Today I joined Her Excellency mama Rachel Ruto on the national mama kitchen garden launch in Baringo County. I urged women and youth to join and support this initiative as it's one way of dealing with gender based violence, poverty, hunger food security, and healthy living to. The first lady was also accompanied by Environment Cabinet Secretary Deborah Baraza, PS Agriculture Dr Rono, PS parliamentary services Aurelian Rono, Deputy Governor Baringo County, governors spouses and other development partners amongst other key dignitaries.

Image
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
5/20/2025, 8:21:46 PM

Kesho asubuhi mapema panapo majaliwa ya Maulana. @BarakaFmKe

Post image
Image
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
2/24/2025, 7:02:57 PM

Rais wetu Ni mchapa kazi na hataki maeneo yoyote katika nchi yetu ya Kenya yabaki nyuma kimaendeleo hivyo basi anazindua miradi kila sehemu ili miradi hii ipate kusaidia wananchi katika kila sehemu YA nchi. #KaribuPwaniRais @pwanifm

Image
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
2/7/2025, 12:07:10 PM

R.I.P Legend.

👍 1
Image
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
2/5/2025, 7:28:13 AM

NAFASI ZA AJIRA KUPITIA MRADI WA NYUMBA ZA BEI NAFUU. Mradi wa nyumba za bei nafuu mbali na kuwapa Wakenya makaazi bora bali pia umetoa nafasi za ajira kwa vijana wanaohusika katika miradi hiyo. Lengo kuu la mradi wa nyumba za bei nafuu ni kuboresha maisha ya Wakenya kupitia nyumba za bei nafuu na za viwango vya juu. #Affordablehousing #UkweliWaMamboKe #MiradiInatekelezwa #BomaYangu

👍 1
Video
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
2/13/2025, 7:05:12 AM

Mdahalo wa ana kwa ana na vijana kutoka jumuiya ya gatuzi za Pwani.Je serikali kuu imeweka mikakati ipi kukabiliana na uhaba wa ajira kwa vijana..Jiunge nami leo kutathmini hili kwa kina @LabourSPKE @Ministry of Sports Culture and heritage

👍 1
Image
Link copied to clipboard!