
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
February 5, 2025 at 07:36 AM
Mpango wa Nyumba za bei nafuu unaendelea kuwashirikisha mafundi wenye ujuzi wa hali ya juu katika utengenezaji wa bidhaa bora za ujenzi, kama vile milango na madirisha.
Mpango huu sio tu kuwawezesha mafundi kujikimu kimaisha bali pia unachangia katika ujenzi wa taifa na kuboresha viwango na hadhi ya makao hapa nchini.
#affordablehousing
#ukweliwamamboke
#miradiinatekelezwa
#bomayangu
👍
1