
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
February 7, 2025 at 09:45 AM
Umiliki wa nyumba nchini haukuwa jambo rahisi kwa Mkenya wa kawaida. Serikali ya Kenya kupitia mpango wa nyumba za bei nafuu inatoa fursa kwa wakenya wote licha ya hali yao ya maisha kupata kumiliki nyumba.
Kwa arifa zaidi kuhusu umiliki wa nyumba hizi kutembelea tovuti bomayangu.go.ke au PIGA simu *832#
#affordablehousing
#ukweliwamamboke
#miradiinatekelezwa
#bomayangu