Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
February 24, 2025 at 08:09 AM
Hii leo usikose Burudani Mseto kwenye Pwani FM kuanzia mida ya saa mbili hadi saa tatu usiku. Tutakuwa na majadiliano na Mazungumzo wazi wazi kuhusu Ziara ya Rais @WilliamsRuto Kanda ya Pwani pamoja na waandaji Sylvester Chibero na Joshua Chome. @pwanifm #ukweliwamamboke #miradiinatekelezwa

Comments