Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
February 24, 2025 at 07:02 PM
Meli YA watalii ilioingia Jana itasaidia Sana uchumi Wa Pwani Na Rais aliweza kuipokea Na wageni wale wametapakaa katika Pwani yetu ili kuimarisha Sekta ya utalii. #ziarayaraispwani @pwanifm

Comments