
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
February 24, 2025 at 07:02 PM
Rais wetu Ni mchapa kazi na hataki maeneo yoyote katika nchi yetu ya Kenya yabaki nyuma kimaendeleo hivyo basi anazindua miradi kila sehemu ili miradi hii ipate kusaidia wananchi katika kila sehemu YA nchi.
#karibupwanirais @pwanifm