
Tanzania ECD Network
February 18, 2025 at 09:27 AM
Februari 13-14, 2025, TECDEN iliandaa mkutano wa wadau wa huduma za malezi ya wa miaka 0-5 katika Hoteli ya Seashells, Dar es Salaam, kujadili hali utoaji huduma za malezi ya watoto, kwa ufadhili wa Global School Forum.
Mkutano huu uliwakutanisha wadau wa sekta binafsi kujadili mafanikio, changamoto, na fursa za kuboresha huduma za malezi ya watoto nchini Tanzania. Majadiliano yalilenga kutafuta suluhisho bora, jumuishi, na endelevu katika sekta hii ili kusaidia upatikanaji wa huduma bora kwa watoto wa wazazi wanaofanya kazi.
#malezibora #malezicampaign
🙏
🤝
3