
VIJIWE TANZANIA
March 1, 2025 at 08:11 AM
Habari , Anahitajika kijana mwaminifu na mchangamfu kwaajili ya kuuza duka la spear za magari awe na ujuzi na uzoefu wa kufanya service ndogondogo za gari kama kumwaga oil, kuziba pancha ,kubadilisha taili na kadharika
Offisi ipo sinza mtu awe karibu na maeneo hayo .
No, 0624213185 tsap
0653703150 kawaida
NB; HATUHITAJI ANAEJIFUNZA