VIJIWE TANZANIA WhatsApp Channel

VIJIWE TANZANIA

694 subscribers

About VIJIWE TANZANIA

AjiraCoach Platform, Imekuletea Channel Ambayo Utapata Matangazo ya kazi yote Ambayo sio Rasmi kama kupiga simu, Kazi za Ndani na nyinginezo ambazo hazina mlolongo katika uombaji. TUMA TANGAZO LA KAZI KUPITIA:- 1. WHATSAPP : 0685956729 2. EMAIL : [email protected] TANGAZO LAKO LITAPOSTIWA BURE

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

VIJIWE TANZANIA
VIJIWE TANZANIA
3/1/2025, 8:11:25 AM

Anahitajika mfamasia ,Kituo cha afya Sejeli (Dodoma wilaya ya Kongwa maeneo ya mbande) phone no MOI +255625484950

VIJIWE TANZANIA
VIJIWE TANZANIA
3/1/2025, 8:11:26 AM

Habari , Anahitajika kijana mwaminifu na mchangamfu kwaajili ya kuuza duka la spear za magari awe na ujuzi na uzoefu wa kufanya service ndogondogo za gari kama kumwaga oil, kuziba pancha ,kubadilisha taili na kadharika Offisi ipo sinza mtu awe karibu na maeneo hayo . No, 0624213185 tsap 0653703150 kawaida NB; HATUHITAJI ANAEJIFUNZA

VIJIWE TANZANIA
VIJIWE TANZANIA
3/1/2025, 8:11:16 AM

Xory naomb nitangazie kwa group anahitajika dispenser au addo kwe DLDM Awe wa kike, kula kulala juu ya boss Mkoa wa Arusha- mwanama Deadlin tar 28 No 0756 465 641

VIJIWE TANZANIA
VIJIWE TANZANIA
3/1/2025, 8:11:18 AM

ANAHITAJIKA NESI WA KIUME MWENYE DEGREE KWAAJILI YA KUOGESHA NA KUPROVIDE HOME SERVICES CARES KWA MGONJWA YUKO MASAKI DAR ES SALAAM MSHAHARA MAELEWANO, CHAKULA KWA BOSI NYUMBANI KUOGESHA WATOTO NA KUWASAFISHA NI ADDED ADVANTAGE ASIWE NA KITAMBI AWE NA CHETI CHA KIPAIMARA NA MAFUNZO YA DINI, AWE MSAFI, AWE NA GPA YA KUANZIA 2.O MPAKA 3.O MWENYE UHITAJI 0766687660

😂 1
VIJIWE TANZANIA
VIJIWE TANZANIA
3/1/2025, 8:11:17 AM

Natafta pharm tech hata kama hana leseni wa kike na awe hajaolewa Sehemu nzega Pakulala analipiwa na ofisi Mshahara 450k Mob:0755073748

VIJIWE TANZANIA
VIJIWE TANZANIA
3/1/2025, 8:11:16 AM

*Pharmaceutical technician anahitajika* Location:ARUSHA Jinsia: WAKIKE Contact: 0625697064

VIJIWE TANZANIA
VIJIWE TANZANIA
3/1/2025, 8:11:15 AM

TANGAZO!! TANGAZO!! Anahitajika mwalimu wa masomo ya Physics and computer /Mathematics and computer Shule::WENDE SEC SCHOOL Location:: NJOMBE MJINI Kwa mawasiliano :: MKUU WA SHULE::0755883897 au 0676737774 Au whasap no 0626790517 Angalizo usitoe pesa yoyote Muda wa maombi

VIJIWE TANZANIA
VIJIWE TANZANIA
3/1/2025, 8:11:13 AM

ANAITAJIKA PHARM TECH GENDER:MALE STATUS:PHARMACY LOCATION:KINONDONI-DAR TEL 0653056881

VIJIWE TANZANIA
VIJIWE TANZANIA
3/1/2025, 8:11:15 AM

TANGAZO Pharmaceutical Personnel Offer: 200,000/= na 3000/= Eneo: Dodoma Mjini Kazi: DLDM Mawasiliano: 0778754873 au 0746678163

VIJIWE TANZANIA
VIJIWE TANZANIA
3/1/2025, 8:11:18 AM

Anahitajika nurse mwenye diploma Awe na experience na mambo ya RCH Location: KATAVI-MPANDA Salary : 300k Kulala ni juu ya boss Mawasiliano: 0628601375 Watsapp only

Link copied to clipboard!