
VIJIWE TANZANIA
March 1, 2025 at 08:11 AM
Tunahitaji Mwalimu mwenye experience ya kufundisha mtu mzima kozi ya kingereza kwa mfumo wa home tuition services.
Mwalimu anatakiwa awe na experience ya kufundisha kozi ya kingereza kwa mtu mzima anayejifunza toka mwanzo.
Conditions: Mwalimu awe mwenyeji wa manzese, magomeni,Morocco au kinondoni ( manyanya,studio,kanisani, kinondoni B)
Mwisho wa hili Tangazo ni kesho ijumaa tarehe28 February 2025 saamoja jioni.
Mawasiliano whatsapp text
O748650405