
AjiraCoach Vijiwe
March 1, 2025 at 08:16 AM
*TANGAZO LA AJIRA*
WALIMU WA 3 WANAHITAJIKA
CP,PM NA CM KW MBALI
POSHO MAKUBALIANO KUANZIA 350K
LOCATION MWANZA (UKEREWE
NAMBA YA HEADMASTER 0744943976
CHAI NA CHA MCHANA VIPO
SHULE INAMILIKIWA NA JIMBO KATOLIKI LA BUNDA