GEORGE AMBANGILE
GEORGE AMBANGILE
February 10, 2025 at 09:21 AM
PEDRI 1: Uzito wa pasi zake ( zinafika mahala sahihi , kwa wakati sahihi na kumrahisishia mpokeaji ) 2: Anajua mazingira yanayomzunguka nini kinaendelea ( ina mrahisishia kufanya maamuzi sahihi mara nyingi kuliko mara chache anazokosea ) 3: Anajua kuchagua spaces sahihi ambazo :- ✍🏻Zinasaidia kwenye kipindi cha kuisogeza timu juu ( Progression ) ✍🏻Zinampa nafasi ya kupeleka matatizo kwa mpinzani 4: Hazidishi vitu katika utendaji wake ( ana rahisisha mchezo )
❤️ 👍 🔥 🫡 😂 🙏 🤝 📌 😮 🥂 62

Comments