
GEORGE AMBANGILE
February 23, 2025 at 12:38 PM
#tactics | Real Madrid Attacking Princples under Carlo Ancelotti
Analyst @sistiinho
Hizi ni mbinu za kushambulia za Real Madrid zilizowapa magoli matatu dhidi ya Man City;
👉 1st Clip; Passing through the Press
- Goli la pili la Real Madrid limetokea kwenye moment Madrid wakiwa wanajenga shambulizi kuanzia langoni kwao (Building up from back) huku Man City wakizuia kwa shinikizo kubwa kuanzia mbele (High Pressing)
1. Build up structure ya Madrid ilikuwa na muundo wa 3+4 kutoka kwenye mfumo wa 4-2-3-1, kipa Courtous akiwa katikati ya mabeki wake wawili, Asensio na Rudigar
2. Pressing Structure ya Man City ilikuwa kwenye umbo la 4-1-2-1-2 (mfumo wa 4-4-2)
- Lengo la Madrid kuanzia nyuma ni ku-attract pressure ya City ili watengeneze depth kubwa ya uzuiaji na kuacha nafasi katikati au nyuma ya pressing structure yao.
- Madrid waliweza kutoka kirahisi kwenye pressure ya City kwasababu walikuwa wamewazidi idadi kwenye kila phase, yaani;
1. Build up phase ilikuwa 3v2; Courtous, Asensio na Rudigar vs Savinho na Marmoush
2. Build up Progression phase 4v1; Katikati Tchoumeni na Ceballos walikuwa dhidi ya Gundogan, ikawa rahisi kwa Madrid ku-progess kwao (Central Progerssion) au Valverde na Mendy pembeni (Wide Progressions).
- Madrid walitumia wide combinations kufunga wakifaidika na Triangle ya pembeni, ambapo;
1. Valverde alishambulia channel ya pembeni nje
2. Rodrigo aliingia kwenye channel ya ndani
3. Bellingham akiwa nyuma ya viungo wa City
- Triangle hii iliweza kupenya na kutengeneza nafasi kirahisi kwa kugongeana pasi za haraka na Bellingham na Rodrigo kubadilishana nafasi haraka, Bellinghma alishambulia half-space na Rodrigo kushambulia Zone 14 na kutengeneza nafasi kwa Mbappe
👉 2nd Clip; Passing Over the Press
- Goli la kwanza la Madrid limetokea kwenye moment Madrid wakiwa na Mpira huku Man City wakizuia na Mid Block, Madrid wailinga kwa kufaidika na;
1. Pressure ndogo ya City mbele iliyowaacha Madrid kuwa Creative
2. Space kubwa nyuma ya block ya Man City ambayo Mbappe aliishambulia
- Pasi moja tu ya juu inamaliza kazi
👉 3rd Clip; Passing Around the Press
- Goli la 3, Madrid walizuinguka Block ya City ikiwa Compact
👍
❤️
🔥
😂
🙏
🥶
28