
Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC
February 5, 2025 at 09:25 PM
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imehudumia wananchi wa Kijiji cha Sante, Kata ya Mkomba Halmshauri ya Momba Mkoa wa Songwe, katika masuala ya sheria ya ardhi matunzo kwa watoto na athari za ukatili wa kijinsia.