Economist SHILLA Jr.
February 25, 2025 at 05:23 AM
UNATAKA KUFANYA KAZI NASI, USISITE FUATA UTARATIBU UFUATAO KUTUMA MWALIKO WA KIBIASHARA;
Kampuni yetu ya ESJ CONSULTING AND MANAGEMENT AGENCY inatoa huduma zifuatazo;
Kuendesha mafunzo kuhusu USIMAMIZI WA FEDHA, UWEKEZAJI, MAANDALIZI YA KUSTAAFU, UWEKAJI WA AKIBA, MIKOPO NA USIMAMIZI WA MADENI BINAFSI, USIMAMIZI WA BIASHARA, MASOKO, HUDUMA KWA WATEJA, USIMAMIZI WA MIRADI n.k.
Kutoa ushauri kuhusu USIMAMIZI WA FEDHA, UWEKEZAJI, MAANDALIZI YA KUSTAAFU, USIMAMIZI WA BIASHARA, MASOKO, HUDUMA KWA WATEJA, MIKOPO, UWEKAJI AKIBA, USIMAMIZI WA MIRADI n.k
Kutoa mada au kuzungumza au kufundisha kuhusu USIMAMIZI WA FEDHA, UWEKEZAJI, MAANDALIZI YA KUSTAAFU, USIMAMIZI WA BIASHARA, MASOKO, HUDUMA KWA WATEJA, MIKOPO, UWEKAJIN AKIBA, USIMAMIZI WA MIRADI n.k katika matukio mbalimbali hususan Makongamano, Semina, vikao vya Jumuiya na Vikundi mbalimbali vya kijamii;
Kuandaa maandiko ya MIRADI, MIPANGO YA BIASHARA, ANDIKO LA KUOMBA UFADHILI WA TUKIO/SHUGHULI n.k
Kushauri na kuwezesha uanzishaji na usajili wa Kampuni au jina la biashara n.k.
Walengwa wa huduma zetu ni: MTU MMOJA MMOJA, TAASISI, WAFANYAKAZI KATIKA TAASISI, VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI, WAFANYABIASHARA WADOGO, VIKUNDI/ JUMUIYA MBALIMBALI VYA KIJAMII, n.k.
Mawasiliano kuhusu mialiko yote ya kibiashara ipitie kwa simu namba 0672619660 tupo tayari kwa kazi na tutakufikia Mkoa/Wilaya/Mji wowote hapa Tanzania.
Na: Samson A. Shilla,
CEO – ESJ CONSULTING & MANAGEMENT AGENCY CO. LIMITED,
Dodoma – Tanzania.
0672619660.