Kinange Tech
Kinange Tech
February 13, 2025 at 09:51 AM
Kijana uliyemaliza chuo nakukumbusha Tu Kujitolea & Kujenga Experience. Volunteer Work – Fanya kazi za kujitolea kwa NGOs, mashirika ya kijamii au hata kwa makampuni madogo. Hii inaweza kukupa experience na connections. Internships – Jaribu kutafuta nafasi hata kama haina malipo, maana inaweza kukupeleka kwenye kazi ya kudumu. Kufanya Kazi za Muda (Part-time jobs) – Kama cashier, sales agent, au waiter, mradi kuna kipato na unajenga jina.

Comments