Kinange Tech WhatsApp Channel

Kinange Tech

1.6K subscribers

About Kinange Tech

Karibu ndugu Mtanzania, hapa tutakuwa tunajifunza technology Bure, pia kuunda vitu bure kama logo, website, apps nk

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

Kinange Tech
Kinange Tech
2/13/2025, 9:51:37 AM

Kijana uliyemaliza chuo nakukumbusha Tu Kujitolea & Kujenga Experience. Volunteer Work – Fanya kazi za kujitolea kwa NGOs, mashirika ya kijamii au hata kwa makampuni madogo. Hii inaweza kukupa experience na connections. Internships – Jaribu kutafuta nafasi hata kama haina malipo, maana inaweza kukupeleka kwenye kazi ya kudumu. Kufanya Kazi za Muda (Part-time jobs) – Kama cashier, sales agent, au waiter, mradi kuna kipato na unajenga jina.

Kinange Tech
Kinange Tech
2/13/2025, 9:47:39 PM

πŸ’° Valentine Hii, Achana na Maua – Tengeneza Mkwanja! πŸ’° Ndiyo, maua ni mazuri… lakini hayakulipii bili....πŸƒ Chokoleti ni tamu… lakini haikuongezei mtonyo. 🍫 Kabla sijakuambia jinsi nilinyotengeneza $2,300+ (zaidi ya TSh 6,346,000/=) ndani ya siku 7 kwa kufanya online side hustles, soma hiiπŸ‘‡πŸ‘‡ Nakumbuka nilivyotesekaβ€¦πŸ˜ž Miaka michache iliyopita, maisha yangu yalikuwa magumu sana..... Nilikuwa na kazi iliyokuwa hailipi hata nauli, bili zilikuwa zinanizidia kila mwezi, na sikuwa na hata senti ya Kula kitimoto choma, Ilikuwa Heri ninunue dagaa sado moja zinisukume sukume.... Kuna siku nilibakiwa na TSh 100/=, sijui ingetosha kula siku ngapi. 😒 Nimepitia wakati ambao simu yangu ilikuwa haitoki kwenye chaji kwasababu ilikuwa kama pasi.... Naingia online kwa kuvizia muda wote nilikuwa nazima data kwasababu sikuwa na bundle la kutosha.... Nilikuwa na ndoto kubwa, lakini sikuwa na mtu wa kunishika mkono... Nilikuwa na madeni dukani kwa Mangi mpaka nikawa nabadilisha njia... Lakini siku moja niliamua inatosha! πŸš€ Nilianza kutafuta njia za kutengeneza pesa mtandaoni, na mwanzoni haikuwa rahisi. Nilifanya makosa, nilipoteza pesa, lakini hatimaye nikagundua mbinu zinazofanya kazi. Lakini nilikataa kurudi nyuma! Nikaanza kujifunza kwa umakini, nikatafuta maarifa.... Nilijaribu mbinu mbalimbali, na polepole nikaanza kuona mwanga..... Nilijifunza skills za mtandaoni ambazo zilianza kunilipa kidogo kidogo.... Leo, maisha yangu yamebadilika kwa njia nisiyoitarajia. Ndoto zilizoonekana kama hadithi sasa ni uhalisia. Maisha yangu yamebadilika kwa sababu nilichukua HATUA na kuanza kujifunza skills mbalimbali kwa kutumia smartphone yangu na bundle pekee... Sasa nina uhuru wa kifedha, ninaweza kufanya kazi popote, na muhimu zaidi sihangaiki tena kuhusu pesa. Ndio, hata wewe unaweza. Naam, nakuona ukisema moyoni 'Bwana Shio, hata mimi ambaye ni beginner sijui chochote, nitaweza?'" Ndiooo, unaweza. Hata kama hujawahi kuanza, hata kama hujui chochote kuhusu kutengeneza pesa mtandaoni, kuna njia sahihi utajifunza... Na hii ndio sababu niliamua kuandaa kozi hii spesho kwa ajili yako… Sasa, badala ya kutumia pesa zako kwa vitu vitakavyoisha kesho, vipi kama ungejifunza jinsi ya kutengeneza pesa zako mwenyewe kila siku, ukiwa geto? Je, unataka kuchukua hatua ya kubadili maisha yako mwaka huu 2025 Ndiyo, nakusomea vizuri – Side hustle inayokulipa hata ukiwa umelala! Nimeunda kozi hii spesho kwa mtu yeyote anayetaka kuanza kutengeneza pesa mtandaoni, hata kama hujawahi jaribu kabisaaa..... πŸ’‘ Utakachojifunza: βœ… Kubadilisha mtazamo wako wa kifedha (mindset shift) βœ… Kuingiza maokoto kwa kufanya online side hustles (Guaranteed) βœ… Muongozo mzima wa kujenga ujuzi hadi kuuza na kupata maokoto Pata na BONUS ya; βœ… Michongo inayolipa kwa mwezi mmoja! Kwanini ni muhimu kwako?.... πŸ”₯ Sikiliza Hii! πŸ”₯ Fikiria siku unamka asubuhi, unaangalia simu yako na unakuta pesa imeingia huku ukiwa bado kitandani..... 😍 Hii siyo ndoto, ni kitu REAL na watu wengi wanakifanya tayari – sasa ni zamu yako!..... Na hapa ndipo mambo yanakuwa matamu zaidi, Zaidi ya wanafunzi 400 waliopita wamefanikiwa kupata kipato chao cha kwanza ndani ya siku 15-30 Tu πŸ”₯ OFFER YA VALENTINE – NI YA MUDA MFUPI! πŸ”₯ Kozi hii itakuwa ni LIVE siku 5 kupitia Google meeting... Kuanzia February 17, 2025. ⏳ OFERTA INAISHIA NDANI YA MASAA MACHACHE TU! Nafasi ni 10 Tu, na zaidi ya watu 18,000 wanasoma tangazo Hili muda huu Gharama ya course hii huwa natoza 299,000/= kwa mtu mmoja, lakini awamu hii je? Unadhani gharama yake ni 200,000/=? HAPANA 100,000/=? HAPANA 50,000/=? HAPANA 30,000/=? HAPANA Gharama ni 19,900/= tu sawa na bei ya nyama kilo moja na nusu! Matokeo makubwa utakayopata baada ya COURSE hii hutoyasahau maishani..... πŸ’° Uamuzi ni wako: Endelea kungoja miujiza, au chukua hatua sasa hivi na ujihakikishie kipato chako cha uhakika. Nafasi ni 10, lakini tayari watu 4 wameshalipia! Nicheki DM kwa KUBONYEZA HAPA πŸ‘‰πŸ‘‰https://wa.me/+255623322998 na tuma neno VALENTINE77 kulipia. Usipopata matokeo yoyote, nitakurudishia pesa yako bila maswali

❀️ πŸ’ͺ πŸ˜‚ 3
Kinange Tech
Kinange Tech
2/28/2025, 8:50:34 AM

Nakukumbusha unapopata pesa yako kidogo wekeza kwenye assets. Na wewe kama kijana assets ni smartphone nzuri na laptop. Nunua laptop, Nunua smartphone nzuri HUTOJUTA hata siku moja.

πŸ‘ πŸ”₯ 4
Kinange Tech
Kinange Tech
3/1/2025, 5:51:45 AM

Nafurahi kuona kwenye VVIP CHANNEL watu wanaunda million dollars. Lakini naumia sana kwasababu wamelipia fee kidogo Sana Kujoin VVIP sasa nitapandisha mpaka $99 kutoka $29 sasa Kuanzia March 10 joining fee itakuwa $99 badala ya $29 sasa kwa mwaka 1 Tumekataa kupoteza muda mwaka 2025 mitandaoni.

Image
Kinange Tech
Kinange Tech
2/13/2025, 9:45:55 AM

kijana wa chuo una options kibao za kujitafutia mkwanja wa ziada bila kuathiri masomo. Hizi hapa idea kadhaa: 1. **Online Hustles** – Unaweza fanya freelance kama graphic design, content writing, transcription, au hata kuandika CV kwa watu kwenye platforms kama Fiverr na Upwork. 2. **Kuuza Vitu** – Nunua vitu kwa jumla (kama nguo, viatu, au accessories) alafu uuze kwa wenzako chuoni au online. 3. **Tutoring** – Kama unashika somo fulani vizuri, unaweza kufundisha wenzako au hata wanafunzi wa high school kwa malipo. 4. **Delivery Services** – Kama kuna apps za delivery kwa mji wako (kama Glovo, Jumia, au Uber Eats), unaweza fanya kazi ya kupeleka chakula na bidhaa. 5. **YouTube/TikTok** – Kama una content nzuri ya ku-share (kama comedy, elimu, au lifestyle), unaweza tengeneza content na upate pesa kupitia views na ads. 6. **Kuandika na Kuuza Notes** – Kama wewe ni mtu wa kuandika notes safi, unaweza kuziuza kwa wenzako au hata online kwenye platforms kama Stuvia. 7. **Kupiga Picha na Kuuza Online** – Kama unapenda photography, unaweza kuuza picha zako kwa sites kama Shutterstock na Adobe Stock. 8. **Gaming & Betting** – Kama una skills kwa gaming, unaweza kucheza na kushinda mashindano au kuuza accounts za game zenye rank kubwa. Lakini betting uwe makini usije poteza kila kitu. 9. **Kazi za Event Planning & MC** – Kama uko social na unapenda events, unaweza kuwa MC au hata kusaidia kupanga sherehe na parties. 10. **Social Media Management** – Biashara nyingi zinahitaji mtu wa kuendesha akaunti zao za Instagram, Facebook, na Twitter. Kama unajua hizi mambo, hii ni njia safi ya kupata hela. Wewe unapenda fanya nini?

Link copied to clipboard!