
Kinange Tech
February 13, 2025 at 09:47 PM
💰 Valentine Hii, Achana na Maua – Tengeneza Mkwanja! 💰
Ndiyo, maua ni mazuri… lakini hayakulipii bili....🍃
Chokoleti ni tamu… lakini haikuongezei mtonyo. 🍫
Kabla sijakuambia jinsi nilinyotengeneza $2,300+ (zaidi ya TSh 6,346,000/=) ndani ya siku 7 kwa kufanya online side hustles, soma hii👇👇
Nakumbuka nilivyoteseka…😞
Miaka michache iliyopita, maisha yangu yalikuwa magumu sana.....
Nilikuwa na kazi iliyokuwa hailipi hata nauli, bili zilikuwa zinanizidia kila mwezi, na sikuwa na hata senti ya Kula kitimoto choma,
Ilikuwa Heri ninunue dagaa sado moja zinisukume sukume....
Kuna siku nilibakiwa na TSh 100/=, sijui ingetosha kula siku ngapi. 😢
Nimepitia wakati ambao simu yangu ilikuwa haitoki kwenye chaji kwasababu ilikuwa kama pasi....
Naingia online kwa kuvizia muda wote nilikuwa nazima data kwasababu sikuwa na bundle la kutosha....
Nilikuwa na ndoto kubwa, lakini sikuwa na mtu wa kunishika mkono...
Nilikuwa na madeni dukani kwa Mangi mpaka nikawa nabadilisha njia...
Lakini siku moja niliamua inatosha! 🚀
Nilianza kutafuta njia za kutengeneza pesa mtandaoni, na mwanzoni haikuwa rahisi.
Nilifanya makosa, nilipoteza pesa, lakini hatimaye nikagundua mbinu zinazofanya kazi.
Lakini nilikataa kurudi nyuma! Nikaanza kujifunza kwa umakini, nikatafuta maarifa....
Nilijaribu mbinu mbalimbali, na polepole nikaanza kuona mwanga.....
Nilijifunza skills za mtandaoni ambazo zilianza kunilipa kidogo kidogo....
Leo, maisha yangu yamebadilika kwa njia nisiyoitarajia. Ndoto zilizoonekana kama hadithi sasa ni uhalisia.
Maisha yangu yamebadilika kwa sababu nilichukua HATUA na kuanza kujifunza skills mbalimbali kwa kutumia smartphone yangu na bundle pekee...
Sasa nina uhuru wa kifedha, ninaweza kufanya kazi popote, na muhimu zaidi sihangaiki tena kuhusu pesa.
Ndio, hata wewe unaweza.
Naam, nakuona ukisema moyoni 'Bwana Shio, hata mimi ambaye ni beginner sijui chochote, nitaweza?'"
Ndiooo, unaweza.
Hata kama hujawahi kuanza, hata kama hujui chochote kuhusu kutengeneza pesa mtandaoni, kuna njia sahihi utajifunza...
Na hii ndio sababu niliamua kuandaa kozi hii spesho kwa ajili yako…
Sasa, badala ya kutumia pesa zako kwa vitu vitakavyoisha kesho, vipi kama ungejifunza jinsi ya kutengeneza pesa zako mwenyewe kila siku, ukiwa geto?
Je, unataka kuchukua hatua ya kubadili maisha yako mwaka huu 2025
Ndiyo, nakusomea vizuri – Side hustle inayokulipa hata ukiwa umelala!
Nimeunda kozi hii spesho kwa mtu yeyote anayetaka kuanza kutengeneza pesa mtandaoni, hata kama hujawahi jaribu kabisaaa.....
💡 Utakachojifunza:
✅ Kubadilisha mtazamo wako wa kifedha (mindset shift)
✅ Kuingiza maokoto kwa kufanya online side hustles (Guaranteed)
✅ Muongozo mzima wa kujenga ujuzi hadi kuuza na kupata maokoto
Pata na BONUS ya;
✅ Michongo inayolipa kwa mwezi mmoja!
Kwanini ni muhimu kwako?....
🔥 Sikiliza Hii! 🔥
Fikiria siku unamka asubuhi, unaangalia simu yako na unakuta pesa imeingia huku ukiwa bado kitandani.....
😍 Hii siyo ndoto, ni kitu REAL na watu wengi wanakifanya tayari – sasa ni zamu yako!.....
Na hapa ndipo mambo yanakuwa matamu zaidi, Zaidi ya wanafunzi 400 waliopita wamefanikiwa kupata kipato chao cha kwanza ndani ya siku 15-30 Tu
🔥 OFFER YA VALENTINE – NI YA MUDA MFUPI! 🔥
Kozi hii itakuwa ni LIVE siku 5 kupitia Google meeting...
Kuanzia February 17, 2025.
⏳ OFERTA INAISHIA NDANI YA MASAA MACHACHE TU!
Nafasi ni 10 Tu, na zaidi ya watu 18,000 wanasoma tangazo Hili muda huu
Gharama ya course hii huwa natoza 299,000/= kwa mtu mmoja, lakini awamu hii je?
Unadhani gharama yake ni 200,000/=? HAPANA
100,000/=? HAPANA
50,000/=? HAPANA
30,000/=? HAPANA
Gharama ni 19,900/= tu sawa na bei ya nyama kilo moja na nusu!
Matokeo makubwa utakayopata baada ya COURSE hii hutoyasahau maishani.....
💰 Uamuzi ni wako: Endelea kungoja miujiza, au chukua hatua sasa hivi na ujihakikishie kipato chako cha uhakika.
Nafasi ni 10, lakini tayari watu 4 wameshalipia!
Nicheki DM kwa KUBONYEZA HAPA 👉👉https://wa.me/+255623322998 na tuma neno VALENTINE77 kulipia.
Usipopata matokeo yoyote, nitakurudishia pesa yako bila maswali
❤️
💪
😂
3