Zeelakudisi
Zeelakudisi
February 2, 2025 at 03:15 PM
Kuna mambo mengi yanaendelea katika maisha yetu bila kujua mara nyingi tunabaki kuangaika tu na kujiona tumerogwa kumbe Kuna viumbe kazi yao kubwa ni kuaribu na kuvuruga mipango na maisha yetu Kuna nafsi ambazo zinaingia kwenye miili yetu na kutawala nguvu zetu akili zetu na ufahamu wetu na hapa ndipo unakuta watu wanaishi pasipo kujua mradi kaamka kala kalala basi ukimwambia kazi atakua adui yako ukimwambia ndoa atakua adui yako yeye anaishi tu atakavyo kumbe sio yeye tayari hapo keshatekwa na viumbe na kumfanya vile watakavyo unakuta mtu anataka kujitibia anaona uzito fulani akili fulani inakataa kumuambia huwezi kupona jua akili yako imeshikwa na majini mabaya mwlini unakuta unataka kufanya kitu ila akili inakataa naomba nikusaidie chukua mafuta haya 👉Alizeti 👉Lavender 👉Sandalwood 👉Chamomile Changanya jipake Kila siku usiku CHUKUA MAJANI HAYA UJIFUSHE 👉Kivumbasi 👉Mnana 👉Mwinga jini 👉mvunja homa 👉mkaratusi majani 👉Mlangamia kamba Tumia nyungu kujifusha siku saba utaondoa nguvu mbaya mwilini mwako na majini mabaya kujifungua mwili wako.
👍 ❤️ 😢 5

Comments