
Zeelakudisi
February 9, 2025 at 03:44 PM
Tafuta chupa ya lita moja hata nusu lita au vile vichupa vinavyouzwa vya maji, chukua Karafuu vijiko vitano au sita , weka na chumvi kiasi na kama una asali weka asali itakuwa bora zaidi tumia kwa kuswakia asubuhi na jion baada ya kula
Nyongeza ya maelezo :
Ukichukua unga wa karafuu weka na chumvi kiasi
au kama una asali chukua unga wa karafuu changanya na asali loweka kwa siku 7 siku ya nane anza kutumia kuswakia
Angalizo ili kuleta matokeo chanya epuka matumizi ya dawa hizi zinazoitwa dawa za meno harufu itaondoka
Ugonjwa wa meno utabaki historia kwako maumivu ya kinywa, Utayasikia kwenye magazeti
Hii Ina uwezo wa kukaa miezi miwili mpaka mitatu bila kuharibika
NB: Nini kitatokea kama ukiamua kuacha kuswaki kwa toothpaste(dawa za mswaki za madukani) kuanzia leo??
Narudia tena ugonjwa wa Meno utabaki historia kwako, maumivu ya kinywa, utayasikia kwenye magazeti
pendekeza kuswaki kwa
👉JUISI YA KARAFUU
👉Mkaa
👉Majivu
👉Kitawi cha mkaratusi
👉Chumvi
👉Limao
👉Mmea unaoitwa Mswaki
Wengi najua watauliza juu ya hii dawa...
Je, tunaweka na maji?
Jibu ni ndio maji ni muhimu weka maji lita moja au nusu lita (viungo kadiria kulingana na kiasi cha maji uliyoweka) ili mradi tu ikolee
Kisha mchanganyiko wako uache kwa siku 7, siku ya nane anza matumizi sasa.
👍
🙏
5