
Zeelakudisi
March 1, 2025 at 05:58 AM
Ambaye anataka kumtoa jini mchafu mwilini achukue kivumbasi asage kiwe unga achanganye na karafuu maiti na haltiti kisha awe anaoga na kunywa kidogo mda wa siku 21 hapo jini mchafu yoyote anatoka katika mwili wako.
👍
1