Sekretarieti ya Ajira
Sekretarieti ya Ajira
February 4, 2025 at 10:55 AM
Hongera Karibuni katika Utumishi wa Umma, Watanzania wana matarajio makubwa kutoka kwenu kwa utumishi wenu, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, ari na nguvu mpya na kutanguliza mbele uzalendo.
❤️ 👍 🙏 5

Comments