
Sekretarieti ya Ajira
46.7K subscribers
About Sekretarieti ya Ajira
Karibu kwenye chaneli ya WhatsApp ya Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa Umma (PO-PSRS).
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Usikose kutazama kipindi cha SEMA KWELI cha Channel ten na kufatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii Alhamisi Hii tarehe 15 Mei 2025, kuanzia Saa 3:00 Usiku ili kufahamu zaidi kuhusu Mageuzi na Mafanikio ya Sekretarieti ya Ajira.

Wasailiwa wa kada mbalimbali wakifanya usaili wa vitendo katika Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) jijini Dodoma. Usaili wa vitendo hufanyika ili kupima ujuzi kwa waombaji kazi na hatimaye kupata watumishi bora watakaoongeza ufanisi katika utendaji wa shughuli mbalimbali.


https://www.youtube.com/watch?v=PmYABOS_7Ik

Usikose kusikiliza kipindi cha Morning Express cha UFM na kufatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii Alhamisi Hii tarehe 15 Mei 2025, kuanzia Saa 1:30 Asubuhi, Kaimu Mkuu wa Idara ya Menejimenti ya Ajira, Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bi. Somwana Manjenga atakuwa akielezea Mageuzi na Mafanikio ya Sekretarieti ya Ajira.