MAJIVU YA FASIHI 📖🪶
MAJIVU YA FASIHI 📖🪶
February 28, 2025 at 05:19 PM
Nawashukuruni sana kwa maoni yenu mliyotoa na mnayoendelea kutoa hukooo inbox. Hili linadhihirisha wazi uhai wa fasihi...mahusiano kati ya fanani na hadhira yake. Riwaya ya *SHAMBA LA HELA* imewafurahisha wengi, imewafunza wengi na zaidi imekuwa burudani ya kipekee kwenu nyote. Timu yetu ikiwa inaendelea kupika simulizi nyingine bora za kuletwa kwetu...tunalo ombi moja tu kwenu tafadhali 🙏🏻. Kusambaza link ya chaneli yetu ili walau tufikishe watu 300 kabla ya kuanza simulizi mpya. Kama tulivyoweza pamoja kuanza na mtu mmoja mpaka hapa tulipo zaidi ya 250 ndani ya miezi 8 tu tangu chapisho letu la kwanza lipakiwe hapa kituoni, tutaweza pia kufika hata milioni kama tu tukishirikiana pamoja. Lengo letu ni lile... Kuyafufua majivu ya fasihi na kurejesha upya jamii ya wasomaji wa kazi ya fasihi. Pamoja tunaweza wanafasihi 💪🏼✍🏼

Comments