πππ ππππππ πππππβ’
February 25, 2025 at 11:57 AM
NAMNA WAZAZI WANAVYOONGEA NA MABINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI.
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya sana.
Miaka 16. Sitaki kukuona na yule kijana.
Miaka 23. Lini utatuletea mchumba wako.
Miaka 26. Wenzako wanaolewa umebaki wewe.
Miaka 30. Tumekuambia kwamba acha kuchagua wanaume sana, hutaki kusikia.
Miaka 33. Kuna mtumishi wa mungu yupo kule anaombea sana watu unaweza ukapata mchumba.
Miaka 36. Umri unakwenda At least pata mtoto mmoja basi.
Miaka 39. We will take care of all the wedding bills. Leta yeyote sawa sisi tutagharamia kila kitu mwenetu.
Miaka 40. Hivi ni nani aliyekuloga kweli?
Prove, Take Care!πππππ