Nipashe Digital
Nipashe Digital
February 25, 2025 at 07:45 AM
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Gambo amesema serikali imeokoa kiasi cha zaidi ya Sh. Million 200 zilizotaka kupigwa na baadhi ya watu jimboni hapo wakati wa ununuzi wa eneo la shule kwenye Mtaa wa Mashariki Kata ya Muriet.https://www.ippmedia.com/nipashe/habari/kitaifa/read/gambo-milioni-200-zilitaka-kutafunwa-na-mafisadi-arusha-2025-02-25-103556

Comments