
Nipashe Digital
February 26, 2025 at 07:00 AM
OFISI ya Vyombo vya Habari vya Vatican, imeeleza kuhusu afya ya Papa, kwamba hakuna matukio mabaya ya kupumualakini bado yupo thabiti.
#nipashedigital
#nipashemwangawajamii
#nipasheupdates