Nipashe Digital
Nipashe Digital
February 26, 2025 at 12:50 PM
AJALI ya gari iliyotokea leo, Februari 26, 2025, eneo la Kingolwira, mkoani Morogoro, iliyohusisha gari aina ya Toyota IST na Toyota Hilux, imesababisha foleni katika barabara kuu ya TANZAM (Tanzania na Zambia). #nipasheupdates #nipashemwangawajamii

Comments