
Nipashe Digital
February 27, 2025 at 10:09 AM
#breakingnews Mwanasiasa mkongwe, Dk. Wilbroad Slaa ameachiwa huru kwa kuwa Jamhuri haina nia ya kuendelea na kesi hiyo. Hivyo, yuko huru.
#nipashemwangawajamii #nipashedigital