Safaricom Care
January 31, 2025 at 06:19 AM
Usiwe mse wa kukaa na Bonga points tu!
Transfer hizo points kwa family na mafans ndio uspread the love!
Cheki hii DIY trick ya kushare Bonga points kupitia huyu peng anaitwa Zuri.
❤️
👍
2