
Safaricom Care
February 5, 2025 at 05:46 AM
Wadau, leo ni tarehe tano na rent iko due. Kaa rada, usiingie kwa mtego ya matapeli.
Before utume hiyo doe, jiulize, ni legit ama ni con?
SMS 333 or go to MySafaricom App or M-PESA App to report conmen.
*#jiulize*
👍
👏
💯
7