Safaricom Care
Safaricom Care
February 28, 2025 at 05:03 AM
Ukienda kwa fundi wa phone shop ukuwe rada! Make sure umebaki na SIM Card yako na usipee mtu yeyote PIN yako! Kuna watu si legit na wanaweza try kukuibia wakibaki na SIM yako. Ukishuku mtu, SMS 333 ama tumia MySafaricom or M-PESA App kureport conmen.#reportconmenon333 #jiulizekamaniukweli #kaachonjousiconiwe.
👍 ❤️ 🙏 9⃣ 😌 😡 😮 17

Comments