United TZA
United TZA
February 25, 2025 at 04:41 PM
🚨🚨🎙️| Rio Ferdinand kuhusu Alejandro Garnacho: “Unaweza kuzungumzia ubora wake, lakini angalau yeye anaingia ndani ya box anaonyesha uwezo wake. Angalau ana ujasiri wa kuingia kwenye boksi na kusababisha vurugu na kutengeneza nafasi. Hili si jambo la kisayansi, hakuna sayansi nyuma yake – kadri unavyoingia kwenye boksi mara nyingi, ndivyo unavyopata nafasi zaidi za kufunga mabao. Kwa mimi, lazima acheze.” [@FIVEUK] Nani anakubaliana na Rio??
👍 1

Comments