
United TZA
35 subscribers
About United TZA
Karibu United TZA! Mahali sahihi kwa mashabiki wa Manchester United kupata taarifa zote muhimu โ kuanzia usajili wa wachezaji, uchambuzi wa mechi, hadi updates za kila siku. Jiunge nasi na uwe karibu na klabu yetu pendwa!
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

HERE WE GO: MATHEUS CUNHA BY: fabrizioromano โคต๏ธ Manchester United wamefikia makubaliano ya mdomo kumsajili Matheus Cunha kutoka Wolves. Baada ya taarifa ya kipekee kuhusu makubaliano na Cunha wiki iliyopita, sasa mkataba uko tayari na utatiwa saini kwa muda wa miaka mitano, ukiwa na chaguo la kuongezewa hadi mwaka 2031. Cunha alikubali kujiunga na Manchester United siku kadhaa zilizopitaโฆ na sasa kila kitu kiko tayari, ikisubiriwa tu kupitiwa na kusainiwa kwa mikataba. Wolves watapokea kiasi cha pauni milioni 62.5 kulingana na kipengele cha kuvunjwa mkataba, lakini kwa malipo ya awamu-awamu, huku nyaraka zikiendelea kukamilishwa ndani ya wiki hii. Usajili wa kwanza wa majira ya joto kwa Manchester United: Matheus Cunha. DEAL DONE โ https://www.youtube.com/live/BRUF6mQnZ7w?si=N0SZGbdJBfJfx9-I


*๐จOFFICIAL: CUNHA SIGNS FOR MAN UTD* Matheus Cunha amejiunga na Man United kwa mkataba wa miaka mitano akitokea Wolves. Klabu imethibitisha taarifa hiyo. Nyaraka zote zishasainialwa na Man Utd watalipa kipengele cha kuvunja mkataba chenye thamani ya ยฃ62.5m. Hatimaye Man Utd wamekamilisha usajili wa kwanza dirisha la kiangazi! Unaupa maksi ngapi usajilu huu?? https://youtube.com/@united_tza?si=5yqjR-phKOlegJkd


๐จโ MPYA: Jadon Sancho atarudi Manchester United mara tu mkataba wake na Chelsea utakapomalizika tarehe 30 Juni. Hakukuwa na makubaliano juu ya masharti mapya ya binafsi, na Chelsea italipa faini ya ยฃ5m kwa United kutokana na hilo. Chanzo: @davidornstein Kwa hiyo tunafanyaje sasa?? Chelsea tutawaroga. #MUFC


๐ฃ UAMUZI: Bruno Fernandes amekataa ofa ZOTE za kuhamia Al Hilal. โ๐ธ๐ฆ Licha ya ofa ya mshahara mkubwa kutoka klabu hiyo inayokipiga kwenye Saudi Pro League, Bruno Fernandes anataka kuendelea kucheza soka barani Ulaya. Nahodha wa Manchester United anataka kubaki akicheza katika kiwango cha juu barani Ulaya. Uamuzi tayari umefanyika na Bruno anabakia Manchester United. Hii habari imefanya siku yangu iende vizuri!


๐จKikosi rasmi kinachoanza kwenye fainali ya #EuropaLeague dhidi ya Spurs. Maoni yako? Tunatoboa? #MUFC || #ManUtd


๐จ | HABARI MPYA: Manchester United wamemteua Christopher Vivell kuwa mkurugenzi wa usajili kwa mkataba wa kuduma baada ya kuhudumu katika nafasi hiyo kwa muda kama kaimu. Mkataba mpya utajumuisha mshahara uliopunguzwa, jambo linaloonyesha nia na kujitoa kwake kuchukua nafasi muhimu katika mchakato wa ujenzi upya wa Man. United unaoongozwa na INEOS kwa muda mrefu. [ @davidornstein ]

โ๐พ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ , ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐.โ _____ โ๐๐ฒ๐๐ต๐ถ ๐น๐ถ๐ธ๐ถ๐ท๐ฒ๐ฟ๐๐ต๐ถ๐๐ฎ, ๐๐๐บ๐ฎ๐ถ๐ป๐ถ ๐น๐ผ๐๐ฒ ๐น๐ถ๐ป๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ธ๐ถ ๐ธ๐๐ฎ ๐ฎ๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐๐ถ๐๐ต๐ผ ๐ฎ๐น๐ถ๐๐ฒ๐๐ถ๐บ๐ฎ๐บ๐ฎ.โ

๐จ๐จ๐๏ธ| Rio Ferdinand kuhusu Alejandro Garnacho: โUnaweza kuzungumzia ubora wake, lakini angalau yeye anaingia ndani ya box anaonyesha uwezo wake. Angalau ana ujasiri wa kuingia kwenye boksi na kusababisha vurugu na kutengeneza nafasi. Hili si jambo la kisayansi, hakuna sayansi nyuma yake โ kadri unavyoingia kwenye boksi mara nyingi, ndivyo unavyopata nafasi zaidi za kufunga mabao. Kwa mimi, lazima acheze.โ [@FIVEUK] Nani anakubaliana na Rio??