United TZA
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                February 25, 2025 at 04:42 PM
                               
                            
                        
                            🚨 | HABARI MPYA:
Manchester United wamemteua Christopher Vivell kuwa mkurugenzi wa usajili kwa mkataba wa kuduma baada ya kuhudumu katika nafasi hiyo kwa muda kama kaimu.
Mkataba mpya utajumuisha mshahara uliopunguzwa, jambo linaloonyesha nia na kujitoa kwake kuchukua nafasi muhimu katika mchakato wa ujenzi upya wa Man. United unaoongozwa na INEOS kwa muda mrefu.
[ @davidornstein ]