
Dr Nature
February 6, 2025 at 06:55 AM
Leo saa 2:00 usiku tutakuwa na webinar
*(SIRI 4) Jinsi ya Kupunguza Uzito na Kitambi Kiafya Mwaka 2025*
Kupitia Youtube na Facebook📌
Utapata nafasi ya kusikiliza kipindi kutoka kwangu Dr Nature na utaweza kuuliza swali.
Ulitawa ulipie Tshs 30,000 lakini nimekukaribisha BURE!
Andaa bando lako usipitwe!
Tumia hii link, weka notification kabisa tukianza usikose
https://www.youtube.com/live/13nzAily4Hg?si=bWkmgmdjRZNZIZQ1
Tukutane baadaye
❤️
1