Dr Nature WhatsApp Channel

Dr Nature

820 subscribers

About Dr Nature

A Medical Doctor, Healthy Lifestyle Coach and Plant Stem Cells Therapist www.doktanature.com Simu/Whatsapp: +255767759137

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

Dr Nature
Dr Nature
5/18/2025, 4:20:34 PM

Hongera nyingi kwa Prof. Mohamed Janabi kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Uteuzi huu ni heshima kubwa kwa Tanzania na uthibitisho wa mchango wako mkubwa katika sekta ya afya. Tunakuombea mafanikio mema katika jukumu hili jipya.

Post image
❀️ πŸ‘ 🫑 5
Image
Dr Nature
Dr Nature
5/18/2025, 4:25:20 AM

Tofauti ya uric acid na acid reflux

Post image
Image
Dr Nature
Dr Nature
5/19/2025, 12:13:54 PM

Hii ni program ya kukufundisha uishi Maisha yako ya kawaida bila kuogezeka uzito kwa namna yoyote. Wale wanauliza baada ya kupungua nafanyaje ili nisiongezeke? hii ni kwa ajili yao Dr tutakula kachumbari kabla ya chakula hadi lini?πŸ˜… unaweza kupungua bila kula kachumbari kwenye kila mlo Jinsi ya kujipangia ratiba yako ya chakula yenye nguvu ya kubadilisha familia yako ishi kiafya, utajifunza ndani ya program hii

❀️ 1
Dr Nature
Dr Nature
5/19/2025, 11:07:14 AM

Kozi ya PUNGUA MILELE Coaching ipo tayari! Kesho naanza kufanya usajiliπŸ”₯πŸ”₯ Ni kozi ya mwaka mzima ambayo kila mtu anahitaji. Hapa ndio hasa utajifunza jinsi ya kupunguza uzito milele bila diet wala kunywa dawa. Nani anatamani kuwa sehemu ya program hii?

πŸ‘ 1
Dr Nature
Dr Nature
5/15/2025, 1:35:05 PM

Ndani ya E-book Hii β€œTIBA YA MADHARA YA PUNYEYO” Utajifunza 1. Hatua 6 za kuacha kujichua hata kama kwa siku hulali bila kujichua .. kwahiyo hautakuwa MTUMWA tena (Sura ya 4) 2. Mazoezi ya kufanya mashine isimame kama mlingoti wakati wa tendo ili heshima yako idumu.. (ukurasa 59) 3. Jinsi ya KUCHELEWA KUMWAGA Bila madawa ili usiabike wakati wa faragha (ukurasa 62) 4. Zoezi linaloongeza ukubwa wa mashine litakufanya ujiamini zaidi na kuwa na furaha .. 5. LISHE BORA kwa mwanaume na namna ya kupangilia chakula ii uwe RIJALI .. (Ukurasa 82) Kitabu ni Softcopy.. Yaani ukilipia nakitumia kwa Whatsapp.. Madini yake ulitakiwa ulipie angalau Tshs 50,000.. Lakini kwa leo.. Ukinunua sasa hivi utakipata kwa Tshs 10,000 tu.. Njia ya malipo: MPESA 0767759137 jina YUSUFU FILEMON AU Lipa namba ya Tigo 9933745 jina DR NATURE Ukishaipia nitumie screenshot kwa whatsapp +255767759137 nikutumie hapo hapo.. Rafiki Yako, Dr Nature

Post image
πŸ‘ 1
Image
Dr Nature
Dr Nature
5/19/2025, 11:15:10 AM
Post image
❀️ πŸ‘ πŸ™ 3
Image
Dr Nature
Dr Nature
5/19/2025, 6:05:39 PM

Suppliments: Tiba ya Haraka au Sumu ya Polepole?” Katika dunia ya sasa matumizi ya virutubisho vya lishe (supplements) yamekuwa jambo la kawaida. Kuanzia vidonge vya vitamini, protini powder, mafuta ya omega-3 nk na madini kama zinki na chuma nk. Lakini kwenye wengi pana mengi.. haya ni mambo ambayo unatakiwa kuwa nayo akilini.. 1. VIRUTUBISHO SI DAWA YA MIUJIZA Lishe ambayo kwa sehemu kubwa inatokana na mimea katika uasili wake (whole food plant-based diet) ndiyo njia sahihi ya kupata virutubisho vyote muhimu. Kulingana na tafiti nyingi virutubisho vingi havijathibitishwa kuwa na manufaa kwa watu. Hata mamlaka zinazodhibiti ubora wake mara nyingi hutegemea maabara za viwanda husika zitoe ubora wake. Kwa mfano: β€’ Vitamini E na beta-carotene supplements zimehusishwa na ongezeko la hatari ya kansa. β€’ Calcium supplements zimeonekana kuongeza hatari ya mshtuko wa moyo badala ya kusaidia mifupa kama inavyodhaniwa. 2. CHANGAMOTO ZA KIAFYA ZINAZOTOKANA NA SUPPLEMENTS β€’ Zinaweza kusababisha Overdose: Mfano vitamini zinazoyeyuka kwenye mafuta kama A, D, E, na K zinawezakusababisha sumu (toxicity) zikitumika kwa wingi. β€’ Kupingana na Dawa: Virutubisho vinaweza kuingiliana na dawa za hospitali, na kusababisha madhara au kupunguza ufanisi wa dawa. β€’ Uthibitisho Hafifu wa Ufanisi: Tafiti nyingi zinazoteteta virutubisho hufadhiliwa na makampuni ya kutengeneza bidhaa hizo, hivyo kushusha ushahidi wa kisayansi. β€’ Uhaba wa Udhibiti (Regulation): Viwango vya ubora na usalama wa virutubisho havidhibitiwi kwa ukali kama dawa, hivyo bidhaa nyingi zinaweza kuwa na viambato visivyo sahihi au hatari. 3. LISHE ASILIA NDIO SULUHISHO Ni rahisi kupata virutubisho unavyotaka kutoka kwenye chakula. Mfano; β€’ Badala ya vidonge vya kuongeza madini ya chuma β†’ kula dengu, mbegu ya parachichi, spinach, na mbegu za maboga. β€’ Badala ya omega-3 capsules β†’ kula mbegu za chia, flaxseed, na walnuts. β€’ Badala ya protini powders β†’ kula maharage, kunde, mbegu na karanga. 4. HATA HIVYO SIO β€œBLACK AND WHITE” Nilichokisema ni taarifa ambazo zinakusaidia kuchukua tahadhari. Sio kila kinachoitwa ni kirutubisho kinafaa mwili wako β€’ Vingine vinafaida zinazoweza kukuvusha katika hali Fulani ya kiafya kirahisi na kujazia ambapo hujaweza kufanya kwa chakula β€’ vingine havina faida yoyote na hivyo uapoteza pesa yako, β€’ vingine vina madhara usipotumia kwa usahihi β€’ Vingine ni sumu kabisa haifai kugusa Unahitaji Kwenda pole kwa uangalifu kama unavyoziendea dawa. Ushawishi wa kampuni au muuzaji usikuchukue bila kujiridhisha usalama na ufanisi wake.

❀️ πŸ™ ❀ 7
Dr Nature
Dr Nature
5/19/2025, 6:05:30 PM
Post image
Image
Dr Nature
Dr Nature
5/18/2025, 3:25:40 AM
Video
Dr Nature
Dr Nature
5/15/2025, 12:44:11 PM

Usifanye Kosa Hili Unapoanza Kutumia Mbegu ya Parachichi

πŸ‘ πŸ™ 2
Video
Link copied to clipboard!