
Dr Nature
February 26, 2025 at 06:24 AM
Energy drinks hata kama haina caffein zinavuruga mfumo wa umeme wa moyo..
Matokeo yake ni:
- Mapigo ya moyo kuvurugika ambako kunaweza kusababisha kifo cha ghafla kama tuliowasikia
- presha kupanda
- Nguvu za kiume zinapungua
Chupa ya buku inaweza kukugalimu.. maana inatabia ya kuletea uraibu..
Utaitaka tena na tena ni hii ni njia rahisi sana ya kuugua moyo.. au kufa ghafla.
Take care!