Dr Nature
February 26, 2025 at 02:04 PM
Jamaa Alikula Plate Mbili Zilizojaa Mbele Yangu..💔
.
Nikienda ofisini mjini kawaida mke wangu ananiwekea chakula kwenye lunch box naenda nacho..
.
Ila Leo hakuweza..
.
Nikaenda kula kwenye mgahawa hapo Moshi, Mbuyuni .
Wakati nimekaa akaja Mwanaume mrefu mwenye asili ya kihindi anakitambi tangulizi kikubwa
Alikuwa amevaa msuli, miwani na tshrt nyeupe..
Aliingia akilalamika macho yanamsumbua na anapayuka kwa sauti kubwa..
Anauliza maswali wahudumu wakiwa kule jikoni.
Ilikuwa kero kwa kweli.
Akaja akakaa jirani na mimi. Akaagiza Sahani ya Pilau Nyama na Ndizi Nyama na Juisi..
Nikasubiri labda kuna mtu amemnunulia..
Weeeeeh
Akala chap! Sahani zote na juisi kwa haraka kuliko hata aliyenikuta💔😳
Duh!
Nikachoka!
Ila kwa kelele na ujuaje wake nikatulia nisimwambie jinsi ya kumsaidia.. asije akaanza kunihutubia😂
Kwanini nimekusimulia hii..
Leo naanza kupokea wanafunzi wapya wanaotaka kuwa serious kupunguza uzito na kitambi kiafya..
Na Nimekupa OFA ambayo inaisha ndani ya masaa machache!
Bofya Hapa Kabla Haija-expire
👉https://doktanature.com/kitambilp/
Rafiki Yako
Dr Nature
❤️
🙏
3