Abuu Mus'ab Media
January 31, 2025 at 03:35 PM
*SHA'BAAN: MWEZI WA WASOMAJI (WANAOSOMA QUR'ANI)*
_*Walikuwa baadhi ya salaf- kama alivyotaja ibn Rajab - katika kuizoezesha nafsi juu ya ibada katika Ramadhani wanauita huu mwezi (wa Sha'baan) mwezi wa wasomaji;*_
_*Kwa kujitahidi kwao pamoja na saum; kusoma Qur'ani, *_
_*Alikuwa Habib bin Abi Thabit inapoingia Sha'baan akisema: huu ni mwezi wa wasomaji,*_
_*Na alikuwa Amru bin Qeis Al Mulaai; inapoingia Sha'baan akifunga duka lake na kutafarragh (kutenga mda wake wote) kwa ajili ya kusoma Qur'ani.*_
📼[Khutba: Sha'baanu aqbala fa aynal 'abiduun- ya Sheikh Dr. Khalid bin Dhahawi Adh-Dhafiry حفظه الله]
════ ❁✿❁ ════
*Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)*
https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f
https://whatsapp.com/channel/0029Vaf8jnw35fLy4RCecN3x
👍
1