
Francis | Abracadabra
February 3, 2025 at 04:43 AM
*Part 2 | 50 Cent - Vision Board -*
50Cent Ameandika Kwamba:
"Utafiti Uliofanyika Kwenye Chuo Cha Dominican University
Kuwa Una Mara 42 Ya Kufikia Malengo Yako Ya Kila Unachokitaka Kwenye Maisha Yako
Kama Utachukua "Peni Na Karatasi" Na Kuandika Unachokihitaji!
Leo Nitazungumzia Zaidi Kuhusu
• *Vision Board Nini?*
• *Namna Ya Kuandaa Vision Board.*
Lakini Kabla Sijaendelea,
Kwa Wewe Ambaye Umeongezeka Humu,
Huu Ni Mwendelezo Nikieleza Namna Gani *Vision Board,*
Imenisaidia Kutimiza Baadhi Ya Ndoto Zangu Nyingi Kwenye,
Maisha Yangu.
Rejea Part 1 Alafu Endelea Na Hii.
*Vision Board Ni Nini?*
Hapa Nitatumia Lugha Rahisi Ili Uweze Kunielewa,
Vision Ni Mkusanyiko Wa Maono MbaliMbali Yaliyopo Ndani Ya Akili Yako Ambayo Bado Hujaweza Kuyaishi Kwenye Uhalisia Unaoishi. "Physical Reality"
Sasa Basi...
Ukishayatoa Hayo Maono Yaliyopo Tu Ndani Ya Akili Yako,
Na Kuyaandika Ama Kuya-visualize Kupitia Picha Mbali Mbali.
Basi Hapo Kwa Ujumla Unaweza Kuita Vision Board.
*Namna Ya Kuandaa Vision Board!*
Lakini Kabla Sijaendelea…
Ngoja Nikupe Story!
Kabla Ya Miaka 3 Iliyopita Nilikuwana Hamu Kubwa Ya Kufahamu Kwa Undani,
Namna Ambavyo Mtu Anaweza Tengeneza "Physical Reality" Ya Maisha Yake,
Kupitia Akili Na Maneno Anayotamka.
Baadae Nilikuja Kuangukia Kujifunza *Phycology Of Human Mind,*
Ambapo Ukienda Deep Utajifunza Namna Ambavyo,
Binadamu Anafikiri Na Mawazo Yake Yanavyoadhiri Kila Analolifanya Kwenye Maisha Yake.
Hivyo Katika Pita Pita Zangu Za Kutafuta Maarifa Nilikuja Angukia Kwenye
Kitabu Cha -*Curtis Jackson* Almaarufu Kama 50cent Kinachoitwa *"Hustle Harder, Hustle Smarter"*
Kwenye Ukurasa Wa Nane "Chapter 8" -*Learing From Your Ls*
50cent Amezungumia Umihimu Kuandika Na Kuandaa Physical Kila Unachokitamani Kwenye Maisha Yako Kwenye Karatasi.
Na Hii Inatupeleka Kwenye …
*Namna Ya Kuandaa Vision Board!*
INAENDELEA….
👍
🙏
❤️
✅
✊
🥂
🫡
18