
Francis | Abracadabra
868 subscribers
About Francis | Abracadabra
Channel hii ni Kwaajili ya Kujifunza Kuhusu, Nguvu Iliyopo Kwenye Akili Yako na Maneno Yako. • Psychology Of Human Mind • Mind | Body | Spirit • MANIPULATION • Manifestation
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Kuna Nguvu Kubwa Sana Kwenye Maandiko Haya, Kama Utahitaji Kuitumia. Leo Nimepokea Ushuhuda Mwingine, Kutoka Twitter (X) Kuhusu Nguvu Ya Vision Board, Soma ...

Kuna Nguvu Kubwa Sana Kwenye Maandiko Haya, Kama Utahitaji Kuitumia. Leo Nimepokea Ushuhuda Mwingine, Kutoka Twitter (X) Kuhusu Nguvu Ya Vision Board, Soma ...

Kabla Hatujaenda kwenye Part 5: Kuhusu "VISUALIZATION" Nakupa BONUS na Pengine hii Ikakusaida, Kwenye harakati zako za Kila Siku. OK... Sikia... Kila Uchokiona Duniani, Kipo Kwenye *"Repetition Loop"*. Mfano; • Jua Linazama Na Kuchomoza Kila Siku Muda Ule Ule. • Mwezi Unachomoza, Kila Tarehe Za Mwisho Wa Mwezi. • Majira Ya Kiangazi Na Baridi, • Miti Yote Inatoa Mbegu, Mbegu Inatoa Mti Ule Ule, • Watu Wana Kufa Leo, Wengine Wanazaliwa Leo, Kwa Ujumla, Dunia Yote Ipo Kwenye *"Repetition Loop"* Sasa Utaniuliza *Francis* "Ni Nini Kinatoka Au Maana Yako Ni Nini Kunieleza Haya Yote?" ... Mana Yangu Ni Hii, *Repettion* Ndio Kila Kitu Kwenye Maisha, *• Huwezi Ukakuwa, *• Huwezi Ukawa Bora,* *• Huwezi Ukafikia Malengo,* Bila Kuwa Kwenye Constant Repetition Loop, Jitahidi Sana Kila Ninachofundisha Humu ndani, Kisome Zaidi Ya Mara Moja! Hii Itasaidia Na Kitakuingia Akilini, Na Utaanza Kukiishi. ... Ukisoma Na Ukaacha Kwa Mara Moja, Ni Sawa Na Umezika Mbegu Jangwani Maana Yake Ni Kuwa Mbegu Itaishia Ardhini Na Haitakuwa, ... Nakukumbusha, Repetition Ndio Kila Kitu Kwenye Maisha Yako, Huwezi Kuona Matokeo Ya Kitu Chochote, Usipofanya Kwa Ku-kirudia-Rudia. ... ^Abracadabra^

Testimony Baada ya Kusoma Nilichokiandika.

Kwasababu Sisi ni ROHO, Mtu Akipata Mlango wa Kuingia, Anaweza Kukudhuru, Bila Kukugusa Physically. ... Na Ni Anatumia Maneno na Dhamira Tu! "Words with Intention" ... Jitahidi Sana Mtu akikutamkia Mabaya, USIYAKUBALI. Kutamka Pekee. Ni Kuumba Chochote Kutoka Kwenye Dhamira. ... Please Be safe Guys. … ^Abracadabra^

Part 4: Kwasababu Whatsapp Wanaruhusu Ku Post, Mwisho Video Ya Dakika 4 Tu. Basi Video Nimekuwekea Katika Channel Ya Youtube. Pia Itakupunguzia Gharama La Bando Lako, Video Ina Dakika 8:02 Ipo Tayari Unaweza Ukaitizama Kupitia Link Hii: https://youtu.be/oWbFTXcGh6Q

*Part 3 - Namna Ya Kuandaa Vision Board!* Hivi Ni *Hatua 5 Muhimu* Za Kuandaa Viosion Board, Hatua Ya Tano Itakushangaza Zaidi Na Ndio Iliyonifanikishia Matamanio Yangu Mengi. Kumbuka Hii Ni Proven Strategy Inayotumiwa Na Watu Wengi Walio Fanikiwa, Kwenye Maisha. Sasa Bila Kupoteza Muda Twende Kuona Hizo Namna 5 Chap Chap! *1 . Cha Kwanza Anza Kufikiri Vitu Gani Unavihitaji Kuvifanikisha* Kwenye Kipindi Fulani Ama Kipindi Chote Utakacho Kuwepo Hapa Duniani. Mfano: • Unataka Uwe Na Freedom. • Uweze Kuwa Na Gari Nzuri. • Uweze Kuwa Na Nyumba Nzuri. • Uweze Kuwa Na Marafiki Wema. • Uweze Kukutana Na Ndoto Ya Wateja Wako. • Uweze Kuwa Na Watoto. • Unataka Uwe Na Kiwanja. • Unataka Kusafikri Kwenda Dubai/Marekani/Canada. Ok, Hapa Hakuna Ukomo Wa Vitu Utakavyo Vihitaji! Unaweza Ukawa Na *Vitu 100-500* Na Kuendelea Kadiri Utakavyoona Wewe, Narudia: *Hapa Hakuna Limit, Yaani Ukomo Wa Matamanio.* Maana Wengi Wanajipa Limitation Wakiamini Kuna Ukomo Wa Kutamani Au Kuwa Na Vision! *2. Namna Ya Kuandika* Hapa Utaona Unawezaje Sasa Kutoa Hayo Matamanio Unayoyawaza (Visions) Kupitia Akili Yako Na Kuyaweka Kwenye Physical Reality/Uhalisia Unaouishi. Unafanyaje? Chukua Peni Na Karatasi Nyeupe, ↳ Au Kama Una Notebook Plain. Alafu Anza Kuandika Kwa Mfuatano. 1, 2, 3, 4, ... Bila Kujali Ukubwa Wa Unachokihitaji.(Randomly) Kumbuka Hapa Ni Wewe Na Mahitajio Yako Na Si Vinginevyo. *3. Namna Ya Kuandaa Picha* Kama Una Simu Ama Computer/laptop. Nenda Kwenye Website Ya (Pintirest) Link: https://www.pinterest.com/ Then Kwa Kadiri Ya Kila Unachokihitaji Kwenye Maisha Yako, Tayari Utakutana Na Picha Ambayo Ipoo Kwenye Huo Mtandao. Kwa Hiyo.... Download Picha Yeyote Ambayo Inawiana Na Vision Uliyonayo, Au Matamanio Uliyonayo. Mfano: • Unahitaji Nyumba, Tafuta Nyumba Ya Ndoto Yako, Then Odwnload Kwenye Simu Ama Computer Yako. • Unahitaji Kuwa Na Demu Mkali, Tafuta Picha Ya Demu Yeyote Mkali, Then Download! • Unahitaji Kuwa Na Home Workstation Computer Kama Mimi Download Then Weka Kwenye Simu/computer Yako. *4. Namna Ya Kuandaa Printing/canva Creation!* Hii Hatua Ya Nne Nitaieleza Kwa Njia Ya Video Rejea Post Itakayofuata. *5. Visualization.* Hii Ni Hatua Ya Mwisho Kabisa Kwenye Kuamini Na Kutengeneza Vision Board! Hii Sitaizungumiz Kwa Wakati Huu, Kwamaana Nitakuwa Sijaitendeea Haki. Maana Hapa Ndio Maajabu Kamili Ya Vision Board Yanatengenezwa, Hapa Ndipo Ndoto Ulionayo Inakuwa Kweli Ndani Ya Muda Mchache Kuliko Unayotegemea. *ByTheWay…* Kabla Sijaenda Kwenye Kuzungumzia Sehemu Muhimu, Unaweza *Kushare* Chanell Hii Kwenye Stutus Zako, Ama Kwa Rafiki Yako Unayemfahamu. Ambaye Pia Unafikiri Maandishi Haya Yatamsaidia. Kwa Sasa Ni *Bure* Sitozi Mtu Kiasi Chochote Cha Pesa! ... *^Abracadabra^*

*Part 2 | 50 Cent - Vision Board -* 50Cent Ameandika Kwamba: "Utafiti Uliofanyika Kwenye Chuo Cha Dominican University Kuwa Una Mara 42 Ya Kufikia Malengo Yako Ya Kila Unachokitaka Kwenye Maisha Yako Kama Utachukua "Peni Na Karatasi" Na Kuandika Unachokihitaji! Leo Nitazungumzia Zaidi Kuhusu • *Vision Board Nini?* • *Namna Ya Kuandaa Vision Board.* Lakini Kabla Sijaendelea, Kwa Wewe Ambaye Umeongezeka Humu, Huu Ni Mwendelezo Nikieleza Namna Gani *Vision Board,* Imenisaidia Kutimiza Baadhi Ya Ndoto Zangu Nyingi Kwenye, Maisha Yangu. Rejea Part 1 Alafu Endelea Na Hii. *Vision Board Ni Nini?* Hapa Nitatumia Lugha Rahisi Ili Uweze Kunielewa, Vision Ni Mkusanyiko Wa Maono MbaliMbali Yaliyopo Ndani Ya Akili Yako Ambayo Bado Hujaweza Kuyaishi Kwenye Uhalisia Unaoishi. "Physical Reality" Sasa Basi... Ukishayatoa Hayo Maono Yaliyopo Tu Ndani Ya Akili Yako, Na Kuyaandika Ama Kuya-visualize Kupitia Picha Mbali Mbali. Basi Hapo Kwa Ujumla Unaweza Kuita Vision Board. *Namna Ya Kuandaa Vision Board!* Lakini Kabla Sijaendelea… Ngoja Nikupe Story! Kabla Ya Miaka 3 Iliyopita Nilikuwana Hamu Kubwa Ya Kufahamu Kwa Undani, Namna Ambavyo Mtu Anaweza Tengeneza "Physical Reality" Ya Maisha Yake, Kupitia Akili Na Maneno Anayotamka. Baadae Nilikuja Kuangukia Kujifunza *Phycology Of Human Mind,* Ambapo Ukienda Deep Utajifunza Namna Ambavyo, Binadamu Anafikiri Na Mawazo Yake Yanavyoadhiri Kila Analolifanya Kwenye Maisha Yake. Hivyo Katika Pita Pita Zangu Za Kutafuta Maarifa Nilikuja Angukia Kwenye Kitabu Cha -*Curtis Jackson* Almaarufu Kama 50cent Kinachoitwa *"Hustle Harder, Hustle Smarter"* Kwenye Ukurasa Wa Nane "Chapter 8" -*Learing From Your Ls* 50cent Amezungumia Umihimu Kuandika Na Kuandaa Physical Kila Unachokitamani Kwenye Maisha Yako Kwenye Karatasi. Na Hii Inatupeleka Kwenye … *Namna Ya Kuandaa Vision Board!* INAENDELEA….

Leo Tutaendelea na Part 4 Ambapo nilisema nitazungumzia namna ya Kuandaa “Vision Board” kwa Njia Ya Video. Stay Tune. … ^Abracadabra^

Part 5: *Visualization: Get Ready To Make Your Dream Come True.* Leo Ni Siku Muhimu Sana Kwako, Kwanini? Kwasababu: Huu Ni Mwendelezo Wa Andiko Kuhusu , *VISION BOARD*, Na Hii Ni Sehemu Ya Mwisho Kabisa, Kwenye Kuleta Chochote *UNACHOKITAKA* Kwenye Reality: Bila Kupoteza Muda, Ndani Ya Dakika 1 Utaenda Kuona, Na Kujifunza Step Kwa Step Namna Ya Ku Visualize. ... Imagine Wewe Ni Mtoto Bado Uko Darasa La Chekechea, Kama Ilivyokawaida Siku Mwalimu Wako Wa Darasa, Akaingia Darasani Akiwa Amebeba Box Tofauti Tofauti, Zikiwa Zimejaa Kalamu Za Rangi Tofauti Tofauti. Alivyofika Akagawia Kila Mmoja Kibox Chake Ikiwemo Na Wewe, Alafu Mwalimu Akasema; "Kila Mmoja Achukue Karatasi Nyeupe, na Ndani ya Hicho Kibox Kuna Kalamu Zenye Rangi Mbalimbali, Chukua Unayoitaka, Then Chora Kitu Chochote Unachokitaka". ... Hii Ina Maana Gani? Maana Yake Ni Kuwa... Kitendo Cha Wewe Kuchukua Karatasi Na Kuanza Kuchora Kitu Chochote Unachokitaka, Hii "Process Of Creating" Initwa Visualization. Kwa Maana Nyingine Rahisi: *Visualization Ni Kuona PICHA Inayotembea Kichwani Mwako.* Sasa Hizi Ni *Step 4* Za Zitakazokusaidia *Ku-Visualize* *Vision Board* Yako Ili Ukiishi Kwenye Uhalisia. *Step 1: Funga Macho Yako (Close Your Eyes)* Kama Nilivyokwambia Kwenye Video Ya Awali Kuwa Baada Ya Kutengeneza Vision Board Yako, Utaiweka Kwenye Computer Yako, au Uta-Print na Utaibandika Chumba Unacholala, N.K Baada Ya Hapo: Kila Siku Asubuhi Utakuwa Una-Visualize, Kukamilika Kwa Kitu Kimoja Kimoja, Kilichopo Kwenye Vision Board Yako, Mfano: Unataka Ununua Kiwanja Mkoa Dar: Uta Visualize Kichwani Mwako Kuwa Siku Umeamka, Umeenda Kuonana Na Madalali Wa Eneo Hilo, Then Atakutembeza Kukuonyesha Kiwanja, Mkakubaliana Bei Ukalimpa Ukaondoka Ukiwa Na Furaha Kuwa Umekamilisha Ndoto Yako Moja. Vivyo Hivyo Utafanya Kwa Vitu Vingine Vyote. *Step 2: Tizama Kwa Makini (See It Clearly)* Hapa Utachukua Wasaa Wa Kutizama *Vision Board* Yako Kwa Makini Huku Uki Visualize Vitu Vyote In Details, Mfano 1: Unataka Gari, Uta Visualize • Aina Ya Gani (*BMW*) , • Gari Ya Mwaka Gani (*2023*), • Aina Rangi Gani (*WHITE COLOR*) • Ndani Ina Viti Vya Aina Gani (*LETHER*) Jitahidi Uwe Na Details Za Kutosha Za Kitu Unachotaka Na Uvisualize In Details. Mfano Wa Pili: Kama Unataka Kiwanja, Unataka Kiwe Eneo Gani, Majirani Zako Waweje, Kiwe Na Ukubwa Gani N.K. *Step 3: Feel It Deeply:* Sasa Hii Ndio Sehemu Muhimu Kabisa, Nitakupa Hii Formula Ya Creation Bure. Formula Ni Hii.... • Chochote Kwanza Unaanza Kukufikiri Kiwe Kibaya Au Kizuri, • Baadae Mawazo Yanabadilika Yanakuwa Hisia. • Baaya Ya Kuvisualize Hisia Zina Influance Matendo Yako Ya Kila Siku. Yaani. *Mind + Feeling + Action = Reality.* Kumbuka Miili Yetu Inaongozwa Na Hisia Hili Ni Somo La Wkati Mwingine. Kwahiyo: Chochote Kile Nacho Ki-Visualize, Utaahikisha Ni Kitu Kinachokutengenezea Furaha, Funga Macho, Vuta Pumzi Ndani Na Toa Nje (Exhale), Imagine Kitu Unachokitaka... Umeshakipata Na Una Feel Excited, Furaha / Inspired. *Step 4: Be It:* Hii Ni Moja Ya Sehemu Ngumu Kwa Watu Wengi Sana, Kwanini?... Kwasabau Unakuta Mtu Anaitizama Hali Aliyonayo Kwa Wakati Huo Alafu Anaona Kile Anachokihitahi Hakiwezi Kukamilika. Ngoja Nikukumbushe Kuwa, Hali Yoyote Uliyonayo Sasa Hivi Haiwezi Ku-Define Hali Yako Ya Wakati Ujaoo. Uwezo Wote Wa Kuumba Chochote Upo Ndani Yako, Amini Kuwa Hicho Kitu Unachotaka Kuwa. Chukua Hatua Ndogo Ndogo Kila Siku Ambazo Zitakusaidia Kufika Kwenye Vision Yako, *Imagine Yourself Already Living Your Dream. Feel The Confidence And Power That Comes With It.* Uko Tayari Ndoto Zako Zije Kwenye Reality? Kama Uko Tayari Chukua Hatua Zote Hizo Kila Siku Bila Kuchoka, Na Utaona Matokeo Ya Kushangaza Kwenye Maisha Yako. Bonus: *Visualize Yourself Succeeding, And The Universe Responds By Making Iit Happen.* *iTAENDELEA (VIDEO)…..*