Francis | Abracadabra
Francis | Abracadabra
February 4, 2025 at 09:47 AM
*Part 3 - Namna Ya Kuandaa Vision Board!* Hivi Ni *Hatua 5 Muhimu* Za Kuandaa Viosion Board, Hatua Ya Tano Itakushangaza Zaidi Na Ndio Iliyonifanikishia Matamanio Yangu Mengi. Kumbuka Hii Ni Proven Strategy Inayotumiwa Na Watu Wengi Walio Fanikiwa, Kwenye Maisha. Sasa Bila Kupoteza Muda Twende Kuona Hizo Namna 5 Chap Chap! *1 . Cha Kwanza Anza Kufikiri Vitu Gani Unavihitaji Kuvifanikisha* Kwenye Kipindi Fulani Ama Kipindi Chote Utakacho Kuwepo Hapa Duniani. Mfano: • Unataka Uwe Na Freedom. • Uweze Kuwa Na Gari Nzuri. • Uweze Kuwa Na Nyumba Nzuri. • Uweze Kuwa Na Marafiki Wema. • Uweze Kukutana Na Ndoto Ya Wateja Wako. • Uweze Kuwa Na Watoto. • Unataka Uwe Na Kiwanja. • Unataka Kusafikri Kwenda Dubai/Marekani/Canada. Ok, Hapa Hakuna Ukomo Wa Vitu Utakavyo Vihitaji! Unaweza Ukawa Na *Vitu 100-500* Na Kuendelea Kadiri Utakavyoona Wewe, Narudia: *Hapa Hakuna Limit, Yaani Ukomo Wa Matamanio.* Maana Wengi Wanajipa Limitation Wakiamini Kuna Ukomo Wa Kutamani Au Kuwa Na Vision! *2. Namna Ya Kuandika* Hapa Utaona Unawezaje Sasa Kutoa Hayo Matamanio Unayoyawaza (Visions) Kupitia Akili Yako Na Kuyaweka Kwenye Physical Reality/Uhalisia Unaouishi. Unafanyaje? Chukua Peni Na Karatasi Nyeupe, ↳ Au Kama Una Notebook Plain. Alafu Anza Kuandika Kwa Mfuatano. 1, 2, 3, 4, ... Bila Kujali Ukubwa Wa Unachokihitaji.(Randomly) Kumbuka Hapa Ni Wewe Na Mahitajio Yako Na Si Vinginevyo. *3. Namna Ya Kuandaa Picha* Kama Una Simu Ama Computer/laptop. Nenda Kwenye Website Ya (Pintirest) Link: https://www.pinterest.com/ Then Kwa Kadiri Ya Kila Unachokihitaji Kwenye Maisha Yako, Tayari Utakutana Na Picha Ambayo Ipoo Kwenye Huo Mtandao. Kwa Hiyo.... Download Picha Yeyote Ambayo Inawiana Na Vision Uliyonayo, Au Matamanio Uliyonayo. Mfano: • Unahitaji Nyumba, Tafuta Nyumba Ya Ndoto Yako, Then Odwnload Kwenye Simu Ama Computer Yako. • Unahitaji Kuwa Na Demu Mkali, Tafuta Picha Ya Demu Yeyote Mkali, Then Download! • Unahitaji Kuwa Na Home Workstation Computer Kama Mimi Download Then Weka Kwenye Simu/computer Yako. *4. Namna Ya Kuandaa Printing/canva Creation!* Hii Hatua Ya Nne Nitaieleza Kwa Njia Ya Video Rejea Post Itakayofuata. *5. Visualization.* Hii Ni Hatua Ya Mwisho Kabisa Kwenye Kuamini Na Kutengeneza Vision Board! Hii Sitaizungumiz Kwa Wakati Huu, Kwamaana Nitakuwa Sijaitendeea Haki. Maana Hapa Ndio Maajabu Kamili Ya Vision Board Yanatengenezwa, Hapa Ndipo Ndoto Ulionayo Inakuwa Kweli Ndani Ya Muda Mchache Kuliko Unayotegemea. *ByTheWay…* Kabla Sijaenda Kwenye Kuzungumzia Sehemu Muhimu, Unaweza *Kushare* Chanell Hii Kwenye Stutus Zako, Ama Kwa Rafiki Yako Unayemfahamu. Ambaye Pia Unafikiri Maandishi Haya Yatamsaidia. Kwa Sasa Ni *Bure* Sitozi Mtu Kiasi Chochote Cha Pesa! ... *^Abracadabra^*
👍 ❤️ 🙏 ✌️ 🎊 🔥 🫡 24

Comments