Francis | Abracadabra
Francis | Abracadabra
February 11, 2025 at 01:07 PM
Kabla Hatujaenda kwenye Part 5: Kuhusu "VISUALIZATION" Nakupa BONUS na Pengine hii Ikakusaida, Kwenye harakati zako za Kila Siku. OK... Sikia... Kila Uchokiona Duniani, Kipo Kwenye *"Repetition Loop"*. Mfano; • Jua Linazama Na Kuchomoza Kila Siku Muda Ule Ule. • Mwezi Unachomoza, Kila Tarehe Za Mwisho Wa Mwezi. • Majira Ya Kiangazi Na Baridi, • Miti Yote Inatoa Mbegu, Mbegu Inatoa Mti Ule Ule, • Watu Wana Kufa Leo, Wengine Wanazaliwa Leo, Kwa Ujumla, Dunia Yote Ipo Kwenye *"Repetition Loop"* Sasa Utaniuliza *Francis* "Ni Nini Kinatoka Au Maana Yako Ni Nini Kunieleza Haya Yote?" ... Mana Yangu Ni Hii, *Repettion* Ndio Kila Kitu Kwenye Maisha, *• Huwezi Ukakuwa, *• Huwezi Ukawa Bora,* *• Huwezi Ukafikia Malengo,* Bila Kuwa Kwenye Constant Repetition Loop, Jitahidi Sana Kila Ninachofundisha Humu ndani, Kisome Zaidi Ya Mara Moja! Hii Itasaidia Na Kitakuingia Akilini, Na Utaanza Kukiishi. ... Ukisoma Na Ukaacha Kwa Mara Moja, Ni Sawa Na Umezika Mbegu Jangwani Maana Yake Ni Kuwa Mbegu Itaishia Ardhini Na Haitakuwa, ... Nakukumbusha, Repetition Ndio Kila Kitu Kwenye Maisha Yako, Huwezi Kuona Matokeo Ya Kitu Chochote, Usipofanya Kwa Ku-kirudia-Rudia. ... ^Abracadabra^
👍 🙏 ❤️ 🔥 😮 🧠 10

Comments