
Francis | Abracadabra
February 13, 2025 at 11:51 AM
Part 5: *Visualization: Get Ready To Make Your Dream Come True.*
Leo Ni Siku Muhimu Sana Kwako,
Kwanini?
Kwasababu: Huu Ni Mwendelezo Wa Andiko Kuhusu ,
*VISION BOARD*, Na Hii Ni Sehemu Ya Mwisho Kabisa,
Kwenye Kuleta Chochote *UNACHOKITAKA* Kwenye Reality:
Bila Kupoteza Muda, Ndani Ya Dakika 1 Utaenda Kuona,
Na Kujifunza Step Kwa Step Namna Ya Ku Visualize.
...
Imagine Wewe Ni Mtoto Bado Uko Darasa La Chekechea,
Kama Ilivyokawaida Siku Mwalimu Wako Wa Darasa,
Akaingia Darasani Akiwa Amebeba Box Tofauti Tofauti,
Zikiwa Zimejaa Kalamu Za Rangi Tofauti Tofauti.
Alivyofika Akagawia Kila Mmoja Kibox Chake Ikiwemo Na Wewe,
Alafu Mwalimu Akasema;
"Kila Mmoja Achukue Karatasi Nyeupe, na
Ndani ya Hicho Kibox Kuna Kalamu Zenye Rangi Mbalimbali,
Chukua Unayoitaka, Then Chora Kitu Chochote Unachokitaka".
...
Hii Ina Maana Gani?
Maana Yake Ni Kuwa...
Kitendo Cha Wewe Kuchukua Karatasi Na Kuanza Kuchora Kitu Chochote Unachokitaka,
Hii "Process Of Creating" Initwa Visualization.
Kwa Maana Nyingine Rahisi: *Visualization Ni Kuona PICHA Inayotembea Kichwani Mwako.*
Sasa Hizi Ni *Step 4* Za Zitakazokusaidia *Ku-Visualize*
*Vision Board* Yako Ili Ukiishi Kwenye Uhalisia.
*Step 1: Funga Macho Yako (Close Your Eyes)*
Kama Nilivyokwambia Kwenye Video Ya Awali Kuwa Baada Ya Kutengeneza Vision Board Yako,
Utaiweka Kwenye Computer Yako, au Uta-Print na Utaibandika Chumba Unacholala, N.K
Baada Ya Hapo: Kila Siku Asubuhi Utakuwa Una-Visualize,
Kukamilika Kwa Kitu Kimoja Kimoja,
Kilichopo Kwenye Vision Board Yako,
Mfano: Unataka Ununua Kiwanja Mkoa Dar: Uta Visualize Kichwani Mwako Kuwa Siku Umeamka,
Umeenda Kuonana Na Madalali Wa Eneo Hilo, Then Atakutembeza Kukuonyesha Kiwanja,
Mkakubaliana Bei Ukalimpa Ukaondoka Ukiwa Na Furaha Kuwa Umekamilisha Ndoto Yako Moja.
Vivyo Hivyo Utafanya Kwa Vitu Vingine Vyote.
*Step 2: Tizama Kwa Makini (See It Clearly)*
Hapa Utachukua Wasaa Wa Kutizama *Vision Board* Yako Kwa Makini Huku Uki Visualize Vitu Vyote In Details,
Mfano 1: Unataka Gari, Uta Visualize
• Aina Ya Gani (*BMW*) ,
• Gari Ya Mwaka Gani (*2023*),
• Aina Rangi Gani (*WHITE COLOR*)
• Ndani Ina Viti Vya Aina Gani (*LETHER*)
Jitahidi Uwe Na Details Za Kutosha Za Kitu Unachotaka Na Uvisualize In Details.
Mfano Wa Pili: Kama Unataka Kiwanja, Unataka Kiwe Eneo Gani, Majirani Zako Waweje, Kiwe Na Ukubwa Gani N.K.
*Step 3: Feel It Deeply:*
Sasa Hii Ndio Sehemu Muhimu Kabisa,
Nitakupa Hii Formula Ya Creation Bure.
Formula Ni Hii....
• Chochote Kwanza Unaanza Kukufikiri Kiwe Kibaya Au Kizuri,
• Baadae Mawazo Yanabadilika Yanakuwa Hisia.
• Baaya Ya Kuvisualize Hisia Zina Influance Matendo Yako Ya Kila Siku.
Yaani.
*Mind + Feeling + Action = Reality.*
Kumbuka Miili Yetu Inaongozwa Na Hisia Hili Ni Somo La Wkati Mwingine.
Kwahiyo:
Chochote Kile Nacho Ki-Visualize, Utaahikisha Ni Kitu Kinachokutengenezea Furaha,
Funga Macho, Vuta Pumzi Ndani Na Toa Nje (Exhale), Imagine Kitu Unachokitaka...
Umeshakipata Na Una Feel Excited, Furaha / Inspired.
*Step 4: Be It:*
Hii Ni Moja Ya Sehemu Ngumu Kwa Watu Wengi Sana,
Kwanini?...
Kwasabau Unakuta Mtu Anaitizama Hali Aliyonayo Kwa Wakati Huo Alafu Anaona Kile Anachokihitahi Hakiwezi Kukamilika.
Ngoja Nikukumbushe Kuwa,
Hali Yoyote Uliyonayo Sasa Hivi Haiwezi Ku-Define Hali Yako Ya Wakati Ujaoo.
Uwezo Wote Wa Kuumba Chochote Upo Ndani Yako,
Amini Kuwa Hicho Kitu Unachotaka Kuwa.
Chukua Hatua Ndogo Ndogo Kila Siku Ambazo Zitakusaidia Kufika Kwenye Vision Yako,
*Imagine Yourself Already Living Your Dream. Feel The Confidence And Power That Comes With It.*
Uko Tayari Ndoto Zako Zije Kwenye Reality?
Kama Uko Tayari Chukua Hatua Zote Hizo Kila Siku Bila Kuchoka,
Na Utaona Matokeo Ya Kushangaza Kwenye Maisha Yako.
Bonus: *Visualize Yourself Succeeding, And The Universe Responds By Making Iit Happen.*
*iTAENDELEA (VIDEO)…..*
❤️
👍
🙏
12